HabariPilipili FmPilipili FM News

Sosion Azuiliwa Kuingia Katika Makao Makuu Ya KNUT.

Katibu mkuu wa chama cha walimu KNUT Wilson Sossion amejipata pabaya baada ya kuzuiliwa kuingia katika makao makuu ya KNUT jijini Nairobi.

Hii ni licha ya mahakama kuagiza bodi ya chama hicho kusitisha harakati za kumwondoa mamlakani.

Hata hivyo Wilson Sossion ameendelea kuwalaumu baadhi ya maafisa wa chama hicho kwa kushawishiwa kisiasa kumuhujumu.

Show More

Related Articles