HabariPilipili FmPilipili FM News

Moha: Niko Tayari Kufanya Kazi Na Joho.

Mbunge wa Nyali Mohammed Ali amesema yuko tayari kufanya kazi na gavana wa kaunti ya Mombasa kwa maslahi ya wananchi wa Mombasa lakini hatosita kumkosoa iwapo itamlazimu kufanya hivyo.

Akikosoa taarifa iliyochapishwa kwenye gazeti moja, Mohammed ali amesema hana shida na gavana Joho akisema lazima maslahi ya wananchi yapewe kipau mbele.

 

 

Show More

Related Articles