HabariMilele FmSwahili

Kesi ya kupinga ushindi wa gavana Anyang’ Nyong’o yaanza kuskizwa katika mahakama ya Kisumu

Kesi rufaa ya kupinga ushindi wa gavana wa kaunti ya Kisumu Anyang’ Nyong’o imeanza kusikizwa hii leo katika mahakama ya rufaa ya Kisumu. Kesi hiyo iliwasilishwa na aliyekuwa gavana wa kaunti hii Jack Ranguma kwa madai kuwa uamuzi uliotolewa na jaji David Majanja kuhusiana na ushindi wanyongo Agosti mwaka jana haukuwa wa haki .Rufaa hiyo inasikizwa na majaji Philip Waki Fatuma Sichale na Odek Otieno. Vikao hivyo vimehairishwa hadi alasiri ili kuruhusu pande zote ziwasilishe stakabadhi muhimu zinazohitajika

Show More

Related Articles