HabariK24 TvMakalaSwahiliSwahili VideosVideos

Rai Mwilini: Upungufu wa damu hospitalini wazidi kuzua kiwewe nchini

Mara kwa mara wakenya huona umuhimu wa kutoa damu wakati wa dharura kama vile ajali au iwapo mtu unayempenda yupo hospitalini na anahitaji damu.

Tatizo la upungufu wa damu katika hospitali huanzia hapa.

Shirika la afya ulimwenguni W.H.O limependekeza uwepo wa kiwango cha laki nne cha damu katika benki ya damu ya nchi kila mwaka hatahivyo nchini kenya mwaka uliopita tulitoa kiwango cha 149,000 pekee.

Katika makala ya wiki hii ya Rai Mwilini, mwanahabari wetu Grace Kuria anatueleza umuhimu wa kutoa damu na pia kutupa taarifa yake Aisha Dafala ambaye anajivunia kuwa aliyetoa damu mara  nyingi zaidi nchini, mara 59.

Show More

Related Articles