HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Mediamax yaungana na EMB productions kwa tamasha mtaani Mathare

Mediamax kwa ushirikiano na kampuni ya EMB Productions waliandaa tamasha la muziki wa gospel katika mtaa wa Mathare kwenye uwanja wa Area Four ambapo mamia ya mashabik walijitokeza.
Mwanamuziki Bahati na wenzake wa kutoka EMB Productions waliwatumbuiza kwa muziki wa kukata na shoka.
Mashabiki vilevile walipata nafasi ya kukkutana na wanahabari wa idhaya ya Milele FM waliokuwa wameandamana na EMB Productions.

Show More

Related Articles