HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Wanafunzi waanza kurejea vyuoni licha ya mgomo wa wahadhiri

Wanafunzi wa chuo kikuu cha Kenyatta wameanza kurejea chuoni tayari kwa masomo hapo kesho licha ya muungano wa  wahadhiri wa vyuo vikuu kusisitiza kuwa mgomo wa wahadhiri bado upo.
Kulingana na wanafunzi wako tayari kukabiliana na wahadhiri ambao wana nia ya kuvuruga masomo ilhali kwa upande wa pili , katibu mkuu wa chama cha UASU Constantine Wasonga anasema kuwa wanafunzi wanaweza kwenda kutalii chuo hicho kwani anawahakikishia kuwa hawatapata mafunzo .

Show More

Related Articles