HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Naibu Rais ajiepusha na siasa Elgeyo Marakwet

Naibu Rais William Ruto amesisitiza haja ya wanasiasa kukoma siasa za mwaka 2022 na badala yake kushiriki pakubwa katika kuwaunganisha wakenya.
Ruto anasema serikali inalenga kutimiza ajenda zake kuu za kimaendeleo na kuwa hawatakubali siasa potovu kuwagawanya wakenya.
Aidha baadhi ya viongozi wameshikilia kuwa kinara wa NASA Raila Odinga hana nia njema ndani ya serikali japokuwa Odinga ameashiria kuwa la mno kwake ni kuhakikisha wakenya wanaungana.

Show More

Related Articles