HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Wafanyibiashara wakadiria hasara ya mamilioni, Sarit Centre

Wafanyabiashara wanaomiliki biashara katika duka maalum la Sarit Centre hapa jijini Nairobi wamekadiria hasara ya mamilioni ya pesa baada ya moto kuteketeza duka hilo.
Kwa zaidi ya saa nane shughuli ya kuuzima moto huo ulioripotiwa mwendo wa saa nne asubuhi ilikuwa ikiendelea huku wakiilaumu idara ya kukabiliana na majanga ya aina hiyo kwa utepetevu kukabiliana na mkasa huo.

Show More

Related Articles