HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Sakaja amtaka Gideon Moi kumuomba Ruto msamaha

Viongozi wa chama cha Jubilee sasa wanamkashifu Seneta wa Baringo Gideon Moi kwa kupanga njama ya kumzuia Naibu wa Rais William Ruto kumuona rais mstaafu Daniel Arap Moi hiyo jana.
Wakiongozwa na Seneta wa Nairobi Johnson Sakaja na baadhi ya wabunge kutoka eneo la bonde la ufa viongozi hawa sasa wanamtaka Gideon Moi kuomba msamaha kwa Ruto wakisema kitendo hicho ni cha kumdhalilisha yeye na afisi yake huku wakisisitiza alikuwa na mwaliko wa kumtembelea Moi.

Show More

Related Articles