HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Watu 6 wauawa kwenye machafuko kaunti ya Baringo 

Watu wanne wameuwawa na wengine kujeruhiwa vibaya baada ya wanaoaminika kuwa wahuni kulivamia gari lililokuwa likisafirisha raia waliokuwa safarini hadi mji wa Marigat kutoka Kapedo kwenye barabara ya Baringo na Turkana.
Tukio hilo lililotokea katika kijiji cha Churo Ameiyan lilichochea uvamizi wa kulipiza kisasi ambapo watu wawili waliuwawa baada ya kupigwa mawe wakiwa kwenye basi.

Show More

Related Articles