HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosTop StoriesVideos

Sh 500M zinahitajika kwa sasa kukabiliana na athari za mafuriko  

Zaidi ya nyumba zipatazo 148,177 zimeathirika na mafuriko katika kaunti 32 nchini huku idadi ya watu waliofariki ikifikia 112.

Akizungumza hii leo na wanahabari, Katibu Mkuu wa shirika la Msalaba Mwekundu nchini Abbas Gullet ameiomba serikali na wamasaria wema kuungana ili kuchanga shilingi milioni mia tano pesa zitakazotumika kuwasaida walioathirika.

Haya yanajiri huku mvua hiyo ikiendelea kuathiri maeneo mbalimbali nchini.

Show More

Related Articles