HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosTop StoriesVideos

Watu 8 wasombwa na maji kufuatia mvua kubwa,Ongata Rongai

Watu wanane wameaga dunia viungani mwa mji wa Rongai kaunti ya Kajiado baada ya kusombwa na mafuriko usiku wa kuamkia jana.
Sita kati ya waliofariki walikuwa wanavuka daraja linalounganisha mtaa wa Kandisi na Rongai huku wawili ambao ni mama na mwanawe wakisombwa na maji wakiwa nyumbani mwao hatua chache kutoka kwenye daraja hilo.

Show More

Related Articles