HabariMilele FmSwahili

Polisi mjini Mombasa waanzisha msako mkali dhidi ya walanguzi wa mihadarati

Polisi mjini Mombasa wameanzisha msako mkali dhidi ya walanguzi wa mihadarati huku waraibu kadhaa wakinaswa. Kamanda wa polisi mjini humo Johnston Ipara said amesema misako hiyo inalenga maeneo yanayifahamika kushuhudia viwango vya juu vya uraibu wa dawa hizo. Amewaonya vijana dhidi ya kujihusisaha katika biashara hiyo kuwa watakabiliwa vikali kisheria. Misako hii inajiri baada ya shirika la NACADA kuelezea hofu kuwa vijana wengi eneo hilo wanaendelea kuatthirika kutokana na uraibu wa dawa za kulevya.

Show More

Related Articles