HabariMilele FmSwahili

Caroline Karugu aapishwa rasmi kama naibu gavana wa Nyeri

Caroline Karugu aapishwa rasmi kama naibu gavana wa Nyeri. Hii ni baada ya bunge la kaunti hiyo kuidhinisha uteuzi wake uliofanywa na gavana Mutahi Kahiga. Bi Karugu atachukuwa mahala palipoachwa wazi na Kahiga aliyechukuwa hatamu kufuatia kifo cha aliyekuwa gavana Wahome Gakuru. Pia atakuwa naibu gavana wa kwanza kuteuliwa na kupigwa msasa na bunge la kaunti nchini.

Show More

Related Articles