HabariMilele FmSwahili

Rais atia saini miswada mitatu kuwa sheria

Rais Uhuru Kenyatta ametia saini miswada mitatu muhimu kuwa sheria. Miongoni mwa miswada hiyo ni ule wa kusawazisha fedha ambao utawezesha ugawaji sawa wa shilingi bilioni 11.98 kwa kaunti 14 zilizotengwa. Pesa hizi zinakusudiwa kufadhili miradi ya maendeleo. Hafla hiyo imeshuhudiwa na seneta James Orengo ambaye amezuru ikulu ya rais kwa mara ya kwanza baada ya miaka mitano

Show More

Related Articles