HabariMilele FmSwahili

Wachimba migodi 3 wauwawa na washukiwa wa Alshabaab Mandera

Maafisa zaidi wa usalama wametumwa katika eneo la Shimbir Fatuma Mandera baada ya kuwawa kwa wachimba migodi 3 kwenye shambulizi linalodaiwa kutekelezwa na waasi wa Alshabaab. Wengine 2 wanauguza majeraha baada ya shambulizi hilo huku wahusika wakilaumiwa kwa kukaidi marufuku iliyowekwa sehemu hiyo na serikali baada ya kukithiri kwa mashambulizi ya Alshabaab.

Show More

Related Articles