HabariMilele FmSwahili

Madaktari waendelea kukosoa utaratibu uliotumika kuagiza madaktari kutoka Cuba

Madaktari wameendelea kukosoa utaratibu uliotumika kabla ya kuagizwa madkatari kutoka nchini Cuba. Dr Ouma Oluga, anasema muungano wao haukushauriwa. Anasema wanachotaka wao ni uwazi kwenye zoezi hilo la kubadilisha madaktari.

Amepuuza madai ya wizara ya afya kwamba madaktari hao ni wataalamu akidai Kenya inazaidi ya wataalamu 170 katika nyanja serikali inadai inashuhudia upungufu.

Show More

Related Articles