HabariMilele FmSwahili

Kamati ya bunge ya afya yahahidi madaktari nchini hawatategwa baada ya kuwasili kwa madaktari kutoka Cuba

Kamati ya afya katika bunge la taifa imeahidi kuhakikisha madaktari wa humu nchini hawatengwa baada ya kuwasili madaktari 100 kutoka Cuba. Akiongea alipopokea mapendekezo ya madaktari kuhusu jinsi ya kuboresha viwango vya afya mwenyekiti wa kamati hiyo Sabina Chege anasema kuwasili kwa madaktari hao wa Cuba kutaboresha afya nchini. Mapendekezo ya madaktari yamewasilishwa na katibu wao Dr Ouma Oluga.

Show More

Related Articles