HabariMilele FmSwahili

Wakenya wasifia wito wa maridhiano uliotolewa na rais katika hotuba yake jana

Wakenya wanazidi kupongeza wito wa maridhiano uliotolewa na rais Uhuru Kenyatta kwenye hotuba yake ya hapo jana. Baadhi ya wakenya tuliozungumza na wametaka vuiongozi wa kaunti kuiga mfano huo wakisema kwa sasa kuna uhasama mkubwa uliotokana na uchaguzi wa mwaka jana. Wengine wameelezea kufurahishwa na hatua ya kuja pamoja kwa mbunge wa Embakasi Mashariki Babu Owino na rais Uhuru Kenyatta.

Show More

Related Articles