HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Hofu yaibuka baada ya kisa cha ugonjwa wa kupooza Nairobi

Wizara ya Afya imeanzisha mradi wa kupeana chanjo dhidi ya maradhi ya kupooza haswa kwa wa watoto walio chini ya umri wa miaka 5.
Hii ni baada ya virusi kwa ugonjwa huo kupatikana katika eneo la Eastleigh jijini Nairobi.
Kulingana na wizara ya afya, baadhi ya mambo ambayo yalichangia kutotolewa kwa chanjo hiyo ni migomo iliyoshuhudiwa katika sekta ya afya nchini mwaka uliopita jambo ambalo hata Rais Uhuru Kenyatta amekubaliana nalo.

Show More

Related Articles