HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Masomo yaathiriwa katika zaidi ya shule 150 nchini

Zaidi ya shule 150 kote nchini zimeathirika kutokana na mafuriko ambayo yanashuhudiwa katika maeneo tofauti nchini huku madarasa yakisombwa na maji.
Maeneo ya Pwani na Baringo ni miongoni mwa maeneo yaliothirika zaidi.
Vilevile katika kaunti ya Nakuru athari za mvua zilizidi huku wanafunzi watano wakiponea kifo baada ya vyoo vya shule kuporomoka na wakajipata ndani ya shimo la choo.

Show More

Related Articles