HabariK24 TvMakalaSwahiliSwahili VideosVideos

Kufa Kupona: Patrick Chege ‘Rhino Power’ anashiriki vitendo tofauti vya kutisha

Anakula mayai ishirini kwa siku . Anaweza kustahimili kukanyangwa na gari , kuvunja misumari akitumia meno yake, kando na  kuvutwa  kwa pikipiki  mbili pasi na kupasuka msamba .

Kwenye makala ya Kufa Kupona, Frankline Macharia anaangazia Patrick Chege ambaye anajuliakana na wengi kama Rhino Power.

Show More

Related Articles