HabariMilele FmSwahili

Wanafunzi wa chuo kikuu cha Garissa waandamana

Wanafunzi wa chuo kikuu cha Garissa wameshiriki maandamano kulalamikia unyakuzi wa ardhi ya chuo hicho. Wanafunzi hao wameharibu vibanda na kufunga barabara ya Mwingi kuelekea Garissa.

Show More

Related Articles