HabariMilele FmSwahili

Wanafunzi 6 wa shule ya Kisulisuli waokolewa baada ya kuzama kwenye choo

Baadhi ya wanafunzi wa shule ya msingi ya Kisulisuli Nakuru wamekwama kwenye choo baada ya kuzama na choo hicho muda mfupi uliopita. Usimamizi wa shule hiyo unasema wanafunzi 6 waliokolewa 4 wanatibiwa katika hospitali ya Nakuru level 5 huku wawili wakiondoka bila majeraha yoyote. Shughuli za uokoaji zinaendelea kuwaondoa wanafunzi wanaokisiwa kuwa ndani ya choo hicho

Show More

Related Articles