HabariMilele FmSwahili

Rais kuhutubia taifa alasiri ya leo

Ajenda 4 kuu za maendeleo ya rais zinatarajiwa kugusiwa zaidi kwenye hotuba atakayotoa alasiri ya leo. Itakuwa hotuba ya kwanza ya rais Uhuru Kenyatta tangu alipochukua hatamu ya pili ya uongozi na itakuwa mbele ya mabunge yote mawili. Mpango wa ushirikiano wake na kinara wa ODM Raila Odinga pia unatazamiwa kuzunguziwa na rais kwenye hotuba yake.

Show More

Related Articles