HabariK24 TvMakalaSwahiliSwahili VideosVideos

Kisima cha kiu: Maji safi ya matumizi yasalia changamoto kuu Mombasa

Mji wa Mombasa sawia na miji mingine Pwani mwa Kenya, imekumbwa na uhaba wa maji kwa miaka na vikaka.

Ijapokuwa mji wa Mombasa umezungukwa na maji ya baharini, maji hayo hayawezi kuwasaidia wenyeji wa mji huo kwa shughuli zozote za kinyumbani.

Dan Kaburu anaangazia suala la uhaba wa maji mjini humo, uharibufu wa misitu iliyo na vyanzo vya maji yanayotumika mjini humo na maeneo mengine ya pwani, katika makala Kisima cha Kiu.

Show More

Related Articles