HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Aliyekuwa mwenyekiti wa NCBDA avamiwa na wahuni Nairobi

Aliyekuwa mwenyekiti wa muungano wa wafanyibiahsara wa jiji la Nairobi Timothy Muriuki leo alivamiwa na wahuni katika hoteli moja ya Nairobi alipokuwa akifanya kikao na wanahabari kuhusiana na  hali ya jiji la Nairobi.
Wahuni hao walimbeba hobela hobela huku wakisistiza kuwa  kamwe hana haki ya kukashifu uongozi wa gavana wa Nairobi.
Ilibidi Muriuki akimbilie usalama wake ili kujinusuru. Haya yanajiri wakati ambapo kumekuwa na lalama chungu nzima kuhusiana na jinsi Gavana Sonko anavyoendesha shughuli za kaunti ya Nairobi .

Show More

Related Articles