HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Idara ya utabiri wa hali ya hewa yasema mvua itaendelea hadi mwezi Mei

Huku shule nyingi zikirejelea masomo kwa muhula wa pili wiki hii mafuriko ambayo yanashuhudiwa nchini yanatishia kutatiza kuanza kwa masomo.
Takriban wanafunzi 25,000 ambao walipaswa kuripoti shuleni hii leo haswa katika maeneo ya Pwani hawakuweza baada ya shule 70 kusombwa na maji.
Huku maelfu ya wakaazi katika sehemu mbalimbali nchini wakizidi kuhama makwao idara ya utabiri wa hali ya hewa imeonya kuwa mvua hii itaendelea hadi katika mwezi ujao.

Show More

Related Articles