HabariMilele FmSwahili

Makundi mawili yazozania hatua ya Sossion kusalia afisini kama katibu wa KNUT

Mshikeshike imeshuhudiwa nje ya afisi za chama cha walimu nchini KNUT Nairobi wakati makundi mawili yalipozozana kuhusiana na kusalia afisini katibu wao Wilson Sossion. Kundi linalompinga Sossion likimtaka aondoke na wadhifa huo kukabidhiwa mwingine atakayeshughulikia maslahi yao. Hata hivyo kundi lingine linalomtetea Sossion linashikilia atasilia kuwa katibu wao licha ya kuteuliwa bungenini hali inayoendelea huku Sossion akikutakana na baraza la uongozi wa KNUT eneo hilo.

Show More

Related Articles