HabariMilele FmSwahili

Baadhi ya shule Tana River,Kilifi na Mombasa zakosa kufunguliwa kutokana na mafuriko

Baadhi ya shule kaunti za Tana River, Kilifi na Mombasa zimekosa kufunguliwa leo kwa muhula wa pili kufuatia mafuriko yaliyoharibu shule. Gavana wa Tana River Godana Dhadho anasema zaidi ya shule 21 zimesombwa na maji. yakijiri hayo kaunti kadhaa zimeendelea kuwahamisha watu wanaishi maeneo hatari kwa hofu ya mafuriko, huku shughuli ya usambazaji misaaada ikiendelea kote nchini

Show More

Related Articles