HabariMilele FmSwahili

Jopo lililobuniwa kuchunguza kuhusu ukataji miti nchini lakutana na naibu rais William Ruto

Jopo lililobuniwa kuchuguza na kuandaa ripoti kuhusu ukataji miti nchini limekutana na naibu rais William Ruto. Akiongea katika makaazi yake Karen, Ruto anasema serikali itatekeleza mapendekezo yote ya jopo hilo muda baada ya kukabidhiwa waziri Keriako Tobiko mchana wa leo. Ruto kadhalika anasema rais Uhuru Kenyatta atapokezwa ripoti hiyo katika muda wa siku 10 zijazo ili kuanzisha juhudi za kuhakikisha taifa lina miti ya kutosha.

Show More

Related Articles