HabariMilele FmSwahili

Shughuli za uchukuzi kwenye barabara ya Kakamega kuelekea Kisumu zakwama

Shughuli za uchukuzi kwenye barabara ya Kakamega kuelekea Kisumu zimekwama katika eneo la Mamboleo kufuatia maandamano ya wenyeji. Wanalalamikia hali mbaya ya barabara hiyo ambayo wamepanda miti kama njia moja ya kuonyesha ghadhabu zao.

Show More

Related Articles