HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Changamoto za ugonjwa unaosababisha ulemavu wa ubongo

Watu wanaougua maradhi ya kupumbaa yanayosababisha ulemavu wa ubongo mara nyingi hujipata wakirudia rudia vitendo, tabia inayohusishwa na kasoro ambazo mtoto huzaliwa nazo.
Dalili za ulemavu huu hujitokeza pole pole wakati mtoto anapokua.
Robi Chacha anasimulia kuhusu mtoto mmoja katika kijiji cha mashura ambaye kwa miaka 8 sasa wazazi wake walishindwa kubaini matatizo ya mwanao.

Show More

Related Articles