HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Juhudi za kulipa sura mpya jiji zaanza na mto Nairobi

Shughuli za kuupatia mji wa Nairobi sura mpya zinaendelea kushika kasi huku upanzi wa miti katika Bustani ya Michuki hapa mjini zikiendelea hii leo.

Waziri wa Mazingira Keriako Tobiko kwa ushirikiano na benki ya NIC na idara zingine aliongoza shughuli hiyo iliyopelekea kupandwa kwa miti 1000.

Show More

Related Articles