HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Wafanyikazi 2 kaunti ya Laikipia wauawa kwa risasi na wezi wa mifugo

Kikosi maalum cha maafisa wa GSU kinazidi kuwasaka wezi wa mifugo wasiopungua sita waliotekeleza mauaji ya maafisa wawili wa kaunti ya Laikipia na kumjeruhi mwingine mmoja kwenye tukio la uvamizi jana jioni.
Viongozi wa eneo hilo wakiongozwa na Gavana Ndiriitu Mureithi wanataka kurejeshwa kwa agizo la kuwauwa wezi wa mifugo huku Waziri wa Usalama Fred Matiang’i na Inspekta Jenerali wa Polisi Joseph Boinnet wakiagizwa kufanikisha hilo ili kurejesha amani.

Show More

Related Articles