HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Mwanawe SK Macharia anayemiliki Royal Media Services afariki

Mwanawe mfanyabiashara na mmiliki wa kampuni ya utangazaji ya Royal Media Services SK Macharia, John Macharia amefariki.
John, ambaye ni kifungua mimba wa mfanyibiashara huyo mashuhuri alikumbana na mauti yake baada ya kuhusika katika ajali ya barabarani kwenye barabara ya pembeni ya Southern Bypass jijini Nairobi usiku wa kuamkia leo alipokuwa akitoka mtaa wa Dagoreti kuelekea Lang’ata mwendo wa saa tano usiku.

Show More

Related Articles