HabariK24 TvMakalaSwahiliSwahili VideosVideos

Ari na Ukakamavu: Bidii ya Faith Motuko anayechora na kuuza bidhaa za ulimbwende

Kupata ajira nchini ni tatizo kubwa hasa miongoni mwa vijana hata wale walio na shahada hukosa ajira.

Basi ndivyo ilivyokuwa kwake Faith Motuka, ambaye japokuwa amesoma alitafuta ajira kwa muda bila ya mafanikio baada ya kuhitimu kutoka chuo kikuu.

Hata hivyo, hakufa moyo aliamua kutumia talanta yake na kujitosa kwenye usanii hasaa wa kuchora na hata kubuni bidhaa za kupendeza  kama vile vipuli, bangili na hata mikufu.

Show More

Related Articles