HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosTop StoriesVideos

Licha ya mvua kubwa bwawa la Ndakaini halitoshelezi wenyeji

Mji wa Nairobi unatarajiwa kuendelea kupata maji kwa mgao licha ya mvua kubwa inayoendelea kunyesha kote nchini.

Hili limebainika hii leo wakati Waziri wa Maji Simon Chelugui alipotoa taarifa kuhusu hali halisi ya maji katika Bwawa la Ndakaini, ambalo maji yake yako asilimia 34 pekee.

Show More

Related Articles