HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosTop StoriesVideos

Fidia ya Matiba: Familia yake kurejea kortini iwapo malipo yatazidi kucheleweshwa

Familia ya marehemu Kenneth Matiba inapania kurejea mahakamani endapo serikali itachelewa kulipa fidia ya zaidi ya shilingi bilioni moja unusu kama ilivyoagiza mahakama kutokana na dhulma alizofanyiwa marehemu na serikali.
Kulingana na wakili aliyekuwa akifuatilia kesi hiyo serikali iliagizwa na mahakama kumlipa kima cha shilingi bilioni moja nukta tano, kiwango ambacho sasa kimepanda hadi shilingi bilioni moja nukta tisa kutokana na riba.

Show More

Related Articles

Check Also

Close