HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosTop StoriesVideos

Mwili wa marehemu Matiba umechomwa leo katika tanuri, Lang’ata

Maiti ya mwendazake Kenneth Matiba imechomwa hii leo katika tanuri ya  makaburi ya Lang’ata kulingana na mapenzi yake.

Ni shughuli ambayo ilihudhuriwa tu na familia ya mwendazake na iliyochukua muda wa saa nane hivi.

Aidha haijabainika pale ambapo familia itapeleka majivu ya maiti ya mwendazake.

Show More

Related Articles