HabariMilele FmSwahili

Mkataba wa serikali kuwaleta madaktari kutoka Cuba watiwa saini

Mchakato wa serikali kuwaleta nchini madaktari kutoka Cuba unakaribia kutamatika. Hii ni baada ya waziri wa afya Sicily Kariuki aliyeziarani nchini Cuba kutia saini mkataba unaowaruhusu madaktari hao kuhudumu hapa nchini. Licha ya hatua hiyo kuonekana kutoungwa mkono na wahudumu wa afya hapa nchini serikali inasema madaktari hao watapiga jeki utoaji huduma hasaa katika hospitali za mashinani nchini.

Show More

Related Articles