HabariMilele FmSwahili

Kenya yapokea ufadhili wa bilioni 11.5 kufadhili miradi ya chakula

Kenya imepokea ufadhili wa shilingi bilioni 11 nukta 5 kusaidia katika miradi ya usalama wa chakula na miradi mingine ya kilimo biashara. Akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa mpango kwa jina Feed the Feature hapa Nairobi rais anasema ufadhili huo utasaidia kupiga jeki nguzo yake ya kufanikisha usalama wa chakula kando na kuwafaidi wakenya wengi
Rais Kenyatta anasema wakati umefika kwa wakenya kusitisha tabia ya kuitegemea serikali mara kwa mara na badala yake kukumbatia ufadhili kutoka mashirika tofauti.
Akizungumza katika hadla hiyo balozi wa Marekani anayeondoka Robert Godec ameahidi ushirikiano zaidi kwa manufaa ya wakenya

Show More

Related Articles