People Daily

Makundi Ya Wahalifu Ya Tajwa Kupungua; Mombasa

Usalama umeimarishwa kwa kiwango kikubwa katika  kaunti ya mombasa ili kukabiliana na makundi ya vijana wanao jihusisha na uhalifu.

Haya yamesemwa na kamanda wa polisi katika ukanda huu wa pwani Noah Mwivanda katika kikao na wanahabari afisini mwake.

Vile vile amesema makundi hayo yamepungua kwa kiwango kikubwa ikilinganishwa na hapo awali nakusema msukumo huo ulifanikishwa  na uwepo wa hamasisho baina ya mashirika yakijamii ,asasi za kiusalama pamoja na wakaazi wa maeneo yaliyoathirika na makundi hayo.

Show More

Related Articles