HabariMilele FmSwahili

John Macharia mwanawe S.K Macharia afariki kwenye ajali ya barabarani

John Macharia mwanawe mwenyekiti wa shirika la Royal Media S.K Macharia amefariki. Hii ni baada ya kuhusika katika ajali ya barabara eneo la Souhtern By Pass. Alifariki akipokea matibabu katika hospitali ya Karen, mwili wake umehifadhiwa chumba cha Lee hapa nairobi.

Show More

Related Articles