HabariMilele FmSwahili

Rais asema yuko tayari kuongoza ajenda ya kuleta uwiano katika taifa

Rais Uhuru Kenyatta amesema yuko tayari kuongoza ajenda ya kuleta uwiano katika taifa hili. Akizungumza katika ibaada ya marehemu Kenneth Matiba, rais amewaomba wanasiasa kuweka kando tofauti zao za kisiasa na kutoa muda wa kuchapa kazi.
Uhuru amekariri kuwa Matiba ni kati ya viongozi waliopigania demokrasia ambayo yafaa ilindwe na kila mmoja kwa kusalia pamoja.
Amesema ni kutokana na hilo ambapo

Show More

Related Articles