HabariMilele FmSwahili

Polisi wanasa Pembe mbili za ndovu kaunti ya Kwale

Polisi katika kaunti ya Kwale wamenasa pembe mbili za ndovu katika msitu wa Muhaka kufuatia msako mkali katika msako hio. Uchunguzi umeanzishwa kuhusiana na kisa hicho. Pembe hizo ni za uzani wa kilo nane.

Show More

Related Articles