HabariMilele FmSwahili

Magavana watoa wito kwa serikali kuu kusambaza kwa wakati fedha zinazotengewa serikali za kaunti

Yakijiri hayo magavana wameendelea kutoa wito kwa serikali kuu kusambaza kwa wakati fedha zinazotengewa serikali za kaunti. Kulingana na gavana wa Kakamega Wyclif Oparanya miradi muhimu ya maendeleo imeendelea kukwama katika kaunti kutokana na kucheleweshwa kwa mgao kutoka serikali kuu. Oparanya pia ameitaka serikali kuboresha mfumo wa IFMIS unaotumika kuhimiza uwajibikaji ili kuhakikisha hautumiki kuhujumu ugatuzi.

Show More

Related Articles