HabariSwahili

Kufa Kupona : Tunawaangazia wachuuzi machachari wa mahindi ya kuchoma,Kijabe 

Je, unaweza kufanya kazi ambayo inaweza kukusababishia  mauti wakati wowote ?
Wengi najua wangeogopa kushiriki katika kazi kama hiyo.
Lakini kwa jamaa wanaouza mahindi katika eneo la Kijabe , kifo kiko kisogoni .
Hata hivyo, wako tayari kukabiliana na hatari zozote, bora wapate mkate wao wa kila siku.

Show More

Related Articles