K24 TvSwahili

Madaktari waunganisha kifundo cha mguu kilichokatika ajalini

Hospitali ya kimisheni ya  Coptic jijini Nairobi imeandikisha historia humu nchini na hata Afrika Mashariki baada ya kufanikiwa kufanya oparesheni ya kurejesha kifundo cha mguu wa mwanamume mmoja aliyehusika kwenye ajali ya barabarani.
Wael Baghat mwenye umri wa miaka 31 alihusika ajali akiwa na rafiki yake aliyefariki kwenye barabara kuu ya Embu-Meru huku yeye akinusurika.

Show More

Related Articles