HabariMilele FmSwahili

Kongamano la ugatuzi laingia siku yake ya 3 leo

Kongamano la ugatuzi linaingia siku yake ya 3 leo, kinara wa ODM ambaye pia ni kinara wa NASA Raila Odinga akitarajiwa kutoa hotuba yake kwenye kongamano hilo linaloendelea huko Kakamega. Katika kongamano hilo mwenyekiti wa baraza la magavana Josephat Nanok amegusia haja ya kuangaziwa changamoto kuhusu utekelezaji sawa wa majukumu baina yaserikali kuu na zile za kaunti akitaka ripoti ya kuangazia hilo kutekelezwa.

Amesisitiza kuwa ipo haja ya wafanyikazi wa kaunti kutengewa hainza ya uzeeni akisema mchakato huo umejikokota sana.

Show More

Related Articles